TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Nimeiona thread hii jioni na I was really shocked na hii taarifa. Na mpaka sasa I am.

Nashukuru amu kwa updates na maelekezo yako maana nimeweza kufika mpaka msibani na ndio nimetoka mida hii.

Na nimetoa rambi rambi kama JamiiForums na nikawaeleza jinsi gani tuliishi nae hapa jukwaani. Dada yake amefarijika sana, na akasema tumemjua mtandaoni na tungeweza kuamua kukaa huko huko kimya tusijitokeze msibani lakini kwenda kwetu mpaka pale nyumbani inaonesha ni namna gani tuna upendo na tulikua tunamjali.

Kesho wanaaga saa 8 Muhimbili, nitakwenda pia kutoa salam za mwisho. Its too sad nimemuona sura yake when he is already gone.

Kuna muda ambao siko active JF Binamu alikua ananiandikia PM, kuniuliza naendeleaje niko salama ama nina matatizo yoyote and that meant a-lot to me.

Nimeumia kutoka rohoni.

Bado nawaza swala la rambi rambi tufanye vipi ku support familia katika wakati huu mgumu.

R.I.P Binamu
 
So touching..
 
Umefanya vizuri Hoe
 
Waooo!barikiwa sana kipenzi!ahsante kutuwakilisha mnooo!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Tena ambae anakufahamu ndiye anakudhihaki pale panapokuuma,, humu Ni kujiburudisha tu si pakutegemea ukifikwa na taabu,
Mi nashukuru nimepata bahati Sana'a...nimekutana na wema watupu na mpk tumekua watu wa karibu nje ya uwanja!
Mungu amenibariki sana na niko makini sana kuchoose friend humu jf kwa sababu kama hizoo!
Nashukuru sijapata changamoto ya kukutaba na watu wa hovyo!na nikiona huyu mtata au mkorofi najitahidi kumkwepa hata mwenye thread zake ili kupeusha nongwa.

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Nimeiona thread hii jioni na I was really shocked na hii taarifa. Na mpaka sasa I am.

Nashukuru amu kwa updates na maelekezo yako maana nimeweza kufika mpaka msibani na ndio nimetoka mida hii.

Na nimetoa rambi rambi kama JamiiForums na nikawaeleza jinsi gani tuliishi nae hapa jukwaani. Dada yake amefarijika sana, na akasema tumemjua mtandaoni na tungeweza kuamua kukaa huko huko kimya tusijitokeze msibani lakini kwenda kwetu mpaka pale nyumbani inaonesha ni namna gani tuna upendo na tulikua tunamjali.

Kesho wanaaga saa 8 Muhimbili, nitakwenda pia kutoa salam za mwisho. Its too sad nimemuona sura yake when he is already gone.

Kuna muda ambao siko active JF Binamu alikua ananiandikia PM, kuniuliza naendeleaje niko salama ama nina matatizo yoyote and that meant a-lot to me.

Nimeumia kutoka rohoni.

Bado nawaza swala la rambi rambi tufanye vipi ku support familia katika wakati huu mgumu.

R.I.P Binamu
Pole sana na asante sana kwa kutuwakilisha,wengine tunabeba box huku,tupo mbali.
 
Mi nashukuru nimepata bahati Sana'a...nimekutana na wema watupu na mpk tumekua watu wa karibu nje ya uwanja!
Mungu amenibariki sana na niko makini sana kuchoose friend humu jf kwa sababu kama hizoo!
Nashukuru sijapata changamoto ya kukutaba na watu wa hovyo!na nikiona huyu mtata au mkorofi najitahidi kumkwepa hata mwenye thread zake ili kupeusha nongwa.

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Safi Sana, akufaaye kwa dhiki ndie rafiki
 
R.I.P warumi nitamiss sana story za mstaa kutoka kwako ..sana. Pumzika kwa amani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom