Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muhimbili hospitalUpdate.
Kesho binamu anaagwa Muhimbili saa nane mchana.
So touching..Nimeiona thread hii jioni na I was really shocked na hii taarifa. Na mpaka sasa I am.
Nashukuru amu kwa updates na maelekezo yako maana nimeweza kufika mpaka msibani na ndio nimetoka mida hii.
Na nimetoa rambi rambi kama JamiiForums na nikawaeleza jinsi gani tuliishi nae hapa jukwaani. Dada yake amefarijika sana, na akasema tumemjua mtandaoni na tungeweza kuamua kukaa huko huko kimya tusijitokeze msibani lakini kwenda kwetu mpaka pale nyumbani inaonesha ni namna gani tuna upendo na tulikua tunamjali.
Kesho wanaaga saa 8 Muhimbili, nitakwenda pia kutoa salam za mwisho. Its too sad nimemuona sura yake when he is already gone.
Kuna muda ambao siko active JF Binamu alikua ananiandikia PM, kuniuliza naendeleaje niko salama ama nina matatizo yoyote and that meant a-lot to me.
Nimeumia kutoka rohoni.
Bado nawaza swala la rambi rambi tufanye vipi ku support familia katika wakati huu mgumu.
R.I.P Binamu
Msiba mkubwa kwa kweliHakika huu ni msiba mkuu...........mpaka nawe umekuja!!!!?huu mwanya ulikosekana kitambo mno[emoji3][emoji3]
Umenena kitu kikubwa sana hapa, rip WarumiApumzike kwa Amani, wanaomjua wasiongee mengi abaki kuwa anonymous kama alivyopendelea enzi za uhai wake.
Nimeiona thread hii jioni na I was really shocked na hii taarifa. Na mpaka sasa I am.
Nashukuru amu kwa updates na maelekezo yako maana nimeweza kufika mpaka msibani na ndio nimetoka mida hii.
Na nimetoa rambi rambi kama JamiiForums na nikawaeleza jinsi gani tuliishi nae hapa jukwaani. Dada yake amefarijika sana, na akasema tumemjua mtandaoni na tungeweza kuamua kukaa huko huko kimya tusijitokeze msibani lakini kwenda kwetu mpaka pale nyumbani inaonesha ni namna gani tuna upendo na tulikua tunamjali.
Kesho wanaaga saa 8 Muhimbili, nitakwenda pia kutoa salam za mwisho. Its too sad nimemuona sura yake when he is already gone.
Kuna muda ambao siko active JF Binamu alikua ananiandikia PM, kuniuliza naendeleaje niko salama ama nina matatizo yoyote and that meant a-lot to me.
Nimeumia kutoka rohoni.
Bado nawaza swala la rambi rambi tufanye vipi ku support familia katika wakati huu mgumu.
R.I.P Binamu
Waooo!barikiwa sana kipenzi!ahsante kutuwakilisha mnooo!!!Nimeiona thread hii jioni na I was really shocked na hii taarifa. Na mpaka sasa I am.
Nashukuru amu kwa updates na maelekezo yako maana nimeweza kufika mpaka msibani na ndio nimetoka mida hii.
Na nimetoa rambi rambi kama JamiiForums na nikawaeleza jinsi gani tuliishi nae hapa jukwaani. Dada yake amefarijika sana, na akasema tumemjua mtandaoni na tungeweza kuamua kukaa huko huko kimya tusijitokeze msibani lakini kwenda kwetu mpaka pale nyumbani inaonesha ni namna gani tuna upendo na tulikua tunamjali.
Kesho wanaaga saa 8 Muhimbili, nitakwenda pia kutoa salam za mwisho. Its too sad nimemuona sura yake when he is already gone.
Kuna muda ambao siko active JF Binamu alikua ananiandikia PM, kuniuliza naendeleaje niko salama ama nina matatizo yoyote and that meant a-lot to me.
Nimeumia kutoka rohoni.
Bado nawaza swala la rambi rambi tufanye vipi ku support familia katika wakati huu mgumu.
R.I.P Binamu
Mi nashukuru nimepata bahati Sana'a...nimekutana na wema watupu na mpk tumekua watu wa karibu nje ya uwanja!Tena ambae anakufahamu ndiye anakudhihaki pale panapokuuma,, humu Ni kujiburudisha tu si pakutegemea ukifikwa na taabu,
Pole sana na asante sana kwa kutuwakilisha,wengine tunabeba box huku,tupo mbali.Nimeiona thread hii jioni na I was really shocked na hii taarifa. Na mpaka sasa I am.
Nashukuru amu kwa updates na maelekezo yako maana nimeweza kufika mpaka msibani na ndio nimetoka mida hii.
Na nimetoa rambi rambi kama JamiiForums na nikawaeleza jinsi gani tuliishi nae hapa jukwaani. Dada yake amefarijika sana, na akasema tumemjua mtandaoni na tungeweza kuamua kukaa huko huko kimya tusijitokeze msibani lakini kwenda kwetu mpaka pale nyumbani inaonesha ni namna gani tuna upendo na tulikua tunamjali.
Kesho wanaaga saa 8 Muhimbili, nitakwenda pia kutoa salam za mwisho. Its too sad nimemuona sura yake when he is already gone.
Kuna muda ambao siko active JF Binamu alikua ananiandikia PM, kuniuliza naendeleaje niko salama ama nina matatizo yoyote and that meant a-lot to me.
Nimeumia kutoka rohoni.
Bado nawaza swala la rambi rambi tufanye vipi ku support familia katika wakati huu mgumu.
R.I.P Binamu
Safi Sana, akufaaye kwa dhiki ndie rafikiMi nashukuru nimepata bahati Sana'a...nimekutana na wema watupu na mpk tumekua watu wa karibu nje ya uwanja!
Mungu amenibariki sana na niko makini sana kuchoose friend humu jf kwa sababu kama hizoo!
Nashukuru sijapata changamoto ya kukutaba na watu wa hovyo!na nikiona huyu mtata au mkorofi najitahidi kumkwepa hata mwenye thread zake ili kupeusha nongwa.
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Mkuu huyu ni keMay her soul rest in peace! Tutamkumbuka sana kwa mchango wake na kuchangamsha jukwaa la Celebrity forums with Gossip news!
Rest easy soldier!