TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Kwanini haipendezi ? Tayari ameshatangulia mbele za Haki kuna faida gani kuendelea kumbakiza Anonymous ?
Na wewe utapata faida gani ukishaiona picha ya mtu ambae hana uhai tena?

Sijawahi kuzoeana na marehemu na wala simjui na si lazima kumjua lakini kitendo cha kuwa mmoja wa wanajf na amekata pumzi tukapata taarifa kwa wakati sahihi basi ni jambo Jema sana na lakumshukuru Mungu.ninajaribu kuwaza kwa mapana sna kesho na keshokutwa sina uhai je atakuwepo mtu wa kuja kuleta taarifa JF kuwa Chakorii hatunae tena na baadhi ya wanajf wakapata muda wa kuja kunizika?au Ndio ID yangu itanyamaza ama kupotea mazima wanajf wakidhani nimebanwa na majukumu ya maisha kumbe nilishakufa kitambo mno..🥺🥺

Inatia simanzi mno..na kama mtu hakumuona akiwa hai itabadilisha nini kumuona akiwa mfu?inafikirisha mno.

Ukijifunza kuvaa viatu vya mtu,hakika kuna baadhi ya mambo lazima uyaache yapite kimya kimya na kuzidi kuomba Rehema ya Mungu.
Maisha haya🥺🥺ona sasa jina limebadilika anaitwa marehemu🥺🥺

Tuzidi kuomba mwisho mwema jamani.

Mwanga wa milele umuangazie warumi apumzike kwa Amani.
 
Nimeipenda hii

Umoja na mshikamano ni kitu kizuri mno

Hapa tunaona nguvu chaja ya mitandao hasa humu jf
 
🙏🙏🙏🙏
 

Umeandika maneno mazito sana dada angu, Sina cha kuongeza. Haya maisha haya jamani daah, Umenifanya niwaze mara mbili daah [emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Heee ndo naona leo mweee. Pumzika kwa Amani. Kumbe alikua mkaka duu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…