Katuachia pengo kubwa jamani, daah!Nani atatuchekesha humu jamani Warumi jamanii
Tuko kwenye msiba tafadhariMay his soul Rest In Peace.
Mwaka mgumu kabisa yani...ambao bado kuwapata tunawaombea yasiwapate...mwaka sio kabisa huu!!Apumzike mahali pema peponi,
Mwaka mgumu huu