TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
MOJA YA NYUZI ZILIZOJAA MAJONZI SANA, BILA SHAKA WARUMI ALIKUWA MTU WA WATU SANA.

MUNGU NI MWEMA, AMJAALIE KUPUMZIKA PANAPO STAHILI.

Ndugu zangu.. KIFO NI KAMA IBADA.. KIFO NI KAMA ALARM CLOCK.

TUKUMBUKE KUTUBU NA KUREJEA KWA MUNGU TUNGALI HAI NA WENYE NGUVU, Anatangulia yoyote yule.. Anaweza kuanza Mh. Waziri, Au Wewe au Mimi... Maisha yetu chini ya jua ni mafupi sana, LAKINI IWAPO UTAJENGA MAHUSIANO SAFI NA BORA na MUNGU WAKO BASI UNAYO FAIDA SIKU AKIKUITA UKATOE HESABU YA MTAJI WA AFYA, PUMZI NA MUDA ALIOKUPA BURE HAPA CHINI YA JUA.

Nisiseme Mengi, POLENI WAFIWA POLE WANA JF WOTE.

TUTUBU
 
Kwanza pale kanisani unawezaje kupiga picha?ni kitu cha ajabu sana cha ajabu mno familia inaombeleza wewe unaenda na simu kupiga picha.

Picha alizotuma hornet kapiga kwa kujiiba sana.


Natamani wangeona jinsi yule dada alivylia na kushukuru.

Humu ndani kuna makolo wengi sana, punguzeni ukolo jamani.
Mjirekebishe.
Mkuu,humu hatuwezi kufanana coz tunatoka different back ground,siku zote simamia unacho kiamini bila kujali maneno ya watu,huwezi kuwabadili watu tabia,ni ngumu sana,

Pia napenda kukupongeza kwa kusimamia michango na kua mvumilivu wa maneno ya watu,Big up kwako na kwa wote walioshiriki,

Kama kuna jambo la kujifunza tutajifunza kwa kupitia msiba huo,

Binafsi nashauri kungekua na namba inayomilikiwa na JamiiForums ambayo ndio itakua inatumika kwa michango ili kuwaondoa wasiwasi member wengine.

One love.
 
Kwa masikitiko makubwa ninapenda kuwapa taarifa ya mdau mwenzetu humu anayeitwa warumi amefariki usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa anapambana kwa ugonjwa wa figo.

Warumi alikuwa kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 29.

Taarifa hii nimepewa na dada yake muda huu, msiba unaelekea kwao Tegeta .


UPDATE:
Msiba upo Tegeta Nyuki, ukifika Stand unachukua boda au bajaji unawaambia wakupeleke nyumbani kwa Kiboko, maana msiba upo opposite na utaona geti jeusi liko wazi - ingia.

Msiba utasafirishwa kwenda Mbeya, Nonde Mabatini.


UPDATE.
Misa ya kumuaga itafanyika kesho tarehe 27 August saa 8 mchana Muhimbili.

Muda unaenda hivi sasa ni saa 12 na robo misa inaanza saa 8 muhimbili.
UPDATE.
Msiba utakuwepo mbeya mjini machinjioni Nonde kwa Mwasuluka.

Zaidi, soma:

Daah![emoji24][emoji24]

Pumzika Kwa amani Binamu..
 
Hongereni mliojitolea kusimamia hili zoezi, jitahidini kutoacha mashaka kwenye hili jambo. zoezi la upokeaji michango mpaka sasa haliachi mashaka kwamba kiasi gani kimeshapatikana.


Ikiwezekana jitahidini kuwahakikishia wadau kwamba kile mlichokusanya kimewafikia walengwa kwa uthibitisho.


Hili litajenga imani na hata kwa siku za mbele mambo kama haya yanaweza kufanyika kwa mafanikio makubwa. Kila la kheri na pole kwa WanaJF wote walioguswa na msiba huu.
 
Uwe mtu usiejali [emoji16]
Binamu alikua hajali umuite dada,kaka, mama, shoga utajaza mwenyewe hajali ye anafocus na ubuyu tu.

Ntammiss yule kaka [emoji17]
[emoji23][emoji23][emoji23]dah mimi ni moto wa jino kwa jino aisee na sipendagi ujinga wallah na ninapenda kuheshimiana na mtu licha ya kubishana kwa hoja na sio kuzalilishana, mwisho naweza kurudisha na mimi tusi nikala ban bure. Warumi anahitaji tuzo kwa kweli pia Kuna kipindi huwa sijisikii kuingia humu JF na ku comments kabisa huwa nafanya JF detoxication loh
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom