Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Asee pole kwa kufiwa Best .nimechelewa kuona itabidi nikuone kwa mchangoWewe nawe unacheka nini?yaani umekuja hapa na kufikia kucheka?
Ni kwamba maneno yake yamekufurahisha sana eti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asee pole kwa kufiwa Best .nimechelewa kuona itabidi nikuone kwa mchangoWewe nawe unacheka nini?yaani umekuja hapa na kufikia kucheka?
Ni kwamba maneno yake yamekufurahisha sana eti?
Comments 1000+ ulitegemea positive vibes kutoka kwa wote? Na hamna mtu aliyekuja kwa lengo la kuvuruga ila mkianza kuleta maneno ya kwa mpalange kama haya ndo mtavuruga..Ila mliokuja kwa ajili ya kuvuruga nimefurahi mnakula za uso hatari mmenyooshwa hatari.
Poleni sana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Poleni sana. naona huko watu wanazikwa muda umeenda sana.Tupo makaburini muda huu kupumzisha ndugu yetu Warumi, 04:15 pm
Pole sana nilimpenda kwa jinsi alichangamsha jukwaa i thought ni she kumbe was he,apumzike kwa amani dah!nimeumia sanaPUMZIKA KWA AMANI BINAMU YANGU KIPENZI.
NI MWAKA MMOJA ULIKUWA WA MATESO SANA KWAKO.
PUMZIKA BINAMU.
PUMZIKA BINAMU.
PUMZIKA BINAMU
[emoji26][emoji26]PUMZIKA KWA AMANI BINAMU YANGU KIPENZI.
NI MWAKA MMOJA ULIKUWA WA MATESO SANA KWAKO.
PUMZIKA BINAMU.
PUMZIKA BINAMU.
PUMZIKA BINAMU