TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Ila mliokuja kwa ajili ya kuvuruga nimefurahi mnakula za uso hatari mmenyooshwa hatari.
Poleni sana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Comments 1000+ ulitegemea positive vibes kutoka kwa wote? Na hamna mtu aliyekuja kwa lengo la kuvuruga ila mkianza kuleta maneno ya kwa mpalange kama haya ndo mtavuruga..

Muacheni ndugu yangu apumzike kwa amani....
 
PUMZIKA KWA AMANI BINAMU YANGU KIPENZI.
NI MWAKA MMOJA ULIKUWA WA MATESO SANA KWAKO.
PUMZIKA BINAMU.
PUMZIKA BINAMU.
PUMZIKA BINAMU
[emoji26][emoji26]
Kumbe alikuwa anakuja humu tunacheka naye,anatuburudisha, kumbe anapitia mateso..nimeumia mno.
Nishapoteza ndugu kwa ugonjwa wa figo,mateso yake si ya kitoto[emoji26]...
Warumi pamoja na kuteseka ila alijikaza akaja kutuburudisha humu [emoji24]..huu ni ujasiri na upendo wa hali ya juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rest easy jf member Warumi. Pole sana kwa maumivu uliyopitia kuelekea tamati yako hapa duniani. You're okay now. You're in better place now.

Kuhusu gender ya marehemu... kila mtu ashinde mechi yake. Binafsi nadhani hii isiwe hoja sana.

Wanaoamini alikuwa 'she' wako sahihi. Wanaoamini alikuwa 'he' wako sahihi pia.

By the way, within 'he' there's she. Go figure...

God bless the dead.

-Kaveli-
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom