TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

Status
Not open for further replies.
Who is next....???
No body knows....??
Only God above.......???

Rest In Peace
 
So sad! You have gone soon our lovely one!!

R.I.P
 
Kuna maswali mengi ninayopataa kutokana na kifo cha rafiki yangu Dotto
Lakini majibu pekee anayo Mungu

Kweli maisha yetu ni kama maua wala hakuna ajuae kesho yake

"Heri wafu wafao katika bwana"
bwana alitoa bwana ametwaa
jina lake lihimidiwe..
 
Pumzika kwa amani Dotto,hii dunia wote tunapita
 
R.i.p dotto.ss tulikupenda ila mungu amekupenda zaid.pole kwa familia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom