TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

Status
Not open for further replies.
R. I. P Dotto ni juzi tu nimeona comments zako humu..
'So far so good we still living today bt we don't know what 2morrow brings in this crazy world people dying like flies everyday...
Daaah R. I. P Dotto
 
pumzika mkwa amani bro ...mungu akutangulie.....
sisi sote ni waja wa allah na kwake ni marejeo.
 
Pumzika kwa Amani Dotto
Msiba wako umetuumiza wengi.
Mungu mwenyewe anajua kwanini ameruhusu.
Tunamrudishia sifa na shukrani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom