TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

Status
Not open for further replies.
Roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu na ipumzike kwa Amani.
 
JamiiForums

Unasikitisha sana jana niliona ajal alikuwa amevaa surual nyeus n.a. shati la light blue alikuwa anavuja damu nyingi kichwan .r.I.p
 
Last edited by a moderator:
Wakuu kuna taarifa zimeenea kuwa member mwenzetu Dotto Mnzava kafariki kwa ajili.

Mwenye taarifa rasmi tunaomba kujulishwa.

R.I.p hii ajal niliiona jana alikuwa amevaa surual nyeus na shat la light blue .alivuja damu sana ilikuwa Victoria
 
Last edited by a moderator:
Aisee!!!

Salamu za rambirambi kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom