TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

Alale pema peponi Mrombo mwenzangu...

Poleni sana wafiwa
 
RIP member wetu, tangulia make wote tu njia moja.
 
Huwa mnajuaje? Ina maana marafiki huwa mnapeana ID za JF?
Possible, mm kuna jamaa yangu tulijuana kuwa tupo JF kwa kuona aki-browse.... Bahati Mbaya akaja akafariki so nikaja kutoa taarifa hapa, sio vibaya kufahamiana wawili au watatu maadamu tu hakuna baya sana mnaloliandika humu na ndo maana kuna verified users.

RIP K007
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…