TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

Duh watu wanajuana kabisa, mimi nikifa mtasikia kwenye vyombo vya habari, na mtaona pilika za viongozi kadhaa. Maana sina hakika ila nina imani Rais atahudhuria au kutuma mwakilishi wake
Mbona tunakujua hufahamiki hata na mjumbe wako mtaani
 
Ninachoshangaa mkuu ni kujuana mpaka ID mnayotumia.
Sasa kama kilichofanyanya kufahamiana ni hizi Id fake..kwanini ushangae?

Cha msingi ni kuwa makini na huyo mtu unaefahamiana nae maana kwanza kwanza hamjafahamiana zaidi..

Hakuna haja ya kukaza shingo kutokufahamiana na watu wa humu Jf…again kuwa makini na nani unataka kufahamiana nae
 
Habari za kusikitisha sana, pole kwa familia ya Jikeshupa na jf family.

Sikuwahi kumfahamu hata, ndio nasoma jina lake.
 
Ninachoshangaa mkuu ni kujuana mpaka ID mnayotumia.
Miaka ya 2009 has 2012 tulikuwa tunachangiana harus nakukutana...au tunapanga kutembelea hifidhi flani tunaenda..na kiliwahi anzishwa kikundi Cha kilimo na kununua mashamba huko bagamoyo na mkuranga(jukwaa la kilimo)..JF I'm watching Nia Sana member wake..
Ninachoshangaa mkuu ni kujuana mpaka ID mnayotumia.
 
Usiache kunitag kwenye huo uzi mkuu
 
RIp Dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…