TANZIA Mwanachama wa JamiiForums (kutoka JF Arusha Wing), Easymutant afariki dunia

RIP, duuh hiyo gari ilivyoumia hata ni ngumu kutambua ni 'make' gani.
 
Soma updates Mkuu!
 
Pumzika kwa Aman rafiki yetu,Sisi wote wa Mungu na kwake tutarejea🙏
 
Kila nafsi itaonja umauti,Apumzike kwa Amani Easymutant.
 
Pumzika kwa Amani Bro,sote ni wapitaji hapa Duniani,Tumkumbuke Mungu wakati wa Ujana wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…