TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Duuuh rest in bro, kamanda Mtoi. Sas kwa wajuzi je chama kinaruhusiwa kuweka mgombea mwingine au inakuwaje
 
Duuuh rest in bro, kamanda Mtoi. Sas kwa wajuzi je chama kinaruhusiwa kuweka mgombea mwingine au inakuwaje

..huu ni uzi wa mwaka 2015.

..Mohamedi Mtoi alikuwa mwanachama mwenzetu hapa JF.

..Vilevile alikuwa Mratibu wa kanda za Chadema, na alifariki akiwa ktk harakati za uchaguzi za mwaka 2015.

..Mohamed Mtoi alikuwa mtu muungwana sana.

..MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA.
 
Hii ndio ilikuwa engine ya chadema, tangu atangulie mbele za haki cdm imekuwa ya hovyo sana
 
R.I.P
 
Mimi huwa nafikiri wewe ni kiongozi wa Chadema kumbe ni nyumbu tu wa JF!! Yaani Kamanda alipata ajali na kufariki 2015 ndiyo unajua leo!!!
hahahahaha wengine ni wapiga kelele tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…