Jamaa kafariki kwenye ajali ya gari jion hii akitokea kwenye kampeni
Inna Li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
Inasikitisha sana, jana tu nimetoka kumuulizia humu JF. Nilikuwa sijamsikia siku nyingi na siku zote nikimwambia aachane na hao akina Mbowe.
Allah amsameh, amghufirie na amlaze pema peponi.
Wafiwa wote poleni sana tena sana na wana JF wenzetu poleni sana.
Inasikitisha sana.
Inasikitisha sana lakini ndio mapenzi ya Muumba. RIP Mtoi. Tutaendeleza mapambano kwa kukuenzi wewe na makamanda wengine waliotangulia mbele ya haki. Umetangulia nasi tuko nyuma yako.Inna Li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.