TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un(إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعون&#1614😉 'Surely we belong to God and to Him shall we return'. May ALlah-...
 
Mungu akulaze pema mtani, pole ziwafikie ndugu na jamaa wote. Hili ni pigo kwa vijana.
 
Daaah aisee ni msiba mzito sana. RIP Kamanda Mohammed Mtoi
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hiyo kauli yake imenifanya nilie nikiikumbuka....

Aisee jamaa ilikua ni vigumu kumkwaza au kukwaza wenzake... zaidi sana upole... uungwana... upendo!!

Sijui kwanini dunia ina huzuni na mateso hivi!!!

Mungu aipe wepesi na faraja familia yake ktk wakati huu mgumu.

Yaani mkuu wacha tuu. Naendelea kuamini maneno ya baba yangu watu wazuri huwahi kutangulia.... dah! Dah!!! Pumzika kwa Amani mohamed mtoi Jf inakulilia
 
Last edited by a moderator:
Mshikaji Wangu Mtoi Nini Tena Kaka! Laaah! Kwakweli Tunatembea Na Roho Mikononi. Mungu Akupumzishe Kwa Amani Kaka.
 
R.I.P Kamanda. Umeacha pengo kubwa sana. Ulikuwa unatuwakilisha vema Waislam ndani ya chama chako
 
Mkuu Ma-CCM hayo hata barabara si unajua wacha tuyape Ma-CCM hii lawama R.I.P brother Mtoi

Mkuu Ally Kanah habari za siku nyingi? Nafuatilia comment zako hapa.....angalia isije ikawa unafanya unafiq kwenye jambo kama hili. Mtume Mwamed amekemea sana Unafiq.
 
Last edited by a moderator:
Taarifa za hivi punde ni kuwa kamanda Mohamedi Mtoi amepata ajali na kufariki dunia

WAMETOKA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI TARAFA YA MLOLA.
KAMANDA MTOI AKAWAPELEKA WENZAKE MPAKA LUSHOTO MJINI KISHA AKAONDOKA KUELEKEA NYUMBANI KWAKE NDIO NJIANI GARI IKAPATA AJALI NA NDIPO KAMANDA MTOI AKAFARIKI DUNIA.

Maelezo haya yamethibitishwa na katibu wa chama wilaya Lushoto Kamanda Dulla.

========
UPDATES:

Habari ya kushtua sana. Nini chanzo cha ajali? Alikuwa pekee? Kuna majeruhi?

Pumzika kwa amani Mohamed Mtoi.
 
Mungu kwanini umeruhusu ili??? R.I.P kamanda wangu mbele yetu nyuma yako, umeniliza sana kamanda
 
Tunahitaji picha clear ya gari hilo.. Sina imani kabisa na kifo hcho.
Why him
why now
why ths year?. Sad.
RIP.
 
dah!!!jf hii,huyu bwana namfahamu humu tu lakini msiba umenigusa sana!

Tangulia kamanda mtoi, upumzike kwa amani, tunaendeleza mapambano, we shall dedicate the victory to you

Inalilah wa Inailah Rajioun. Mie umenigusa sana huu msiba. Ni mtu ninaye mfahamu kwa karibu sana na tunafahamiana. Kwa mara ya mwisho tulionana nae mwaka jana kwenye msiba wa ndugu yake Lushoto Tanga na ilikuwa tukiwasiliana kwa simu mara kwa mara. Dah inauma sana..
Mungu amrehemu.
 
Back
Top Bottom