Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
r.i.p bro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hiyo kauli yake imenifanya nilie nikiikumbuka....
Aisee jamaa ilikua ni vigumu kumkwaza au kukwaza wenzake... zaidi sana upole... uungwana... upendo!!
Sijui kwanini dunia ina huzuni na mateso hivi!!!
Mungu aipe wepesi na faraja familia yake ktk wakati huu mgumu.
Itoshe tu kusema Inna Lillah wainna ilayh RajighuunMshikaji Wangu Mtoi Nini Tena Kaka! Laaah! Kwakweli Tunatembea Na Roho Mikononi. Mungu Akupumzishe Kwa Amani Kaka.
Mkuu Ma-CCM hayo hata barabara si unajua wacha tuyape Ma-CCM hii lawama R.I.P brother Mtoi
Taarifa za hivi punde ni kuwa kamanda Mohamedi Mtoi amepata ajali na kufariki dunia
WAMETOKA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI TARAFA YA MLOLA.
KAMANDA MTOI AKAWAPELEKA WENZAKE MPAKA LUSHOTO MJINI KISHA AKAONDOKA KUELEKEA NYUMBANI KWAKE NDIO NJIANI GARI IKAPATA AJALI NA NDIPO KAMANDA MTOI AKAFARIKI DUNIA.
Maelezo haya yamethibitishwa na katibu wa chama wilaya Lushoto Kamanda Dulla.
========
UPDATES:
dah!!!jf hii,huyu bwana namfahamu humu tu lakini msiba umenigusa sana!
Tangulia kamanda mtoi, upumzike kwa amani, tunaendeleza mapambano, we shall dedicate the victory to you