TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Raha ya milele imjalie ee Bwana na Nuru ya daima imuangaze, hastarehe kwa amani.
 
Wakuu tupo kwenye kipindi cha kuomboleza baada ya kumpoteza Kamanda Mtoi. Msafara wa Viongozi wa ukawa umeshawasili Lushoto kutuwakilisha wananchi.
 

Attachments

  • 1442217194369.jpg
    1442217194369.jpg
    14.9 KB · Views: 3,391
Kufa hakuepukiki lakini kwa huu msiba ni wazi mabadiliko yamepata pigo kubwa.
najaribu kuzikumbuka baadhi ya 'like' nilizowahi kupata kutoka kwa kijana huyu asiyetetereka kimsimamo. Ni ngumu lakini tumuombe Mungu aifaliji familia yake na kutuonyesha njia tuliokuwa nyuma yake.
 
Binafsi nimeumizwa sana na kifo cha Mohammed Mtoi pia ni faraja kwa viongozi wa CHADEMA taifa kufika na kuifariji familia ya mpendwa wetu. Nilizoea kuona post nyingi za mshikaji wetu kipindi nikiwa Gamba na kuchangia kwa maslahi ya kichama hata kama posti ilikuwa ina mafundisho🙁🙁
 
I.W.I.R. Mtoi, the true son of Tanzania, activist, politician...wengi tumeumizwa na kifo chako...tunafuraha kuwa miongoni mwa wanaokusindikiza kwenye safari yako ya mwisho.
 
Duh..mtoi ulikuwa mwanasiasa wa kuigwa...uliacha yote ukaamua kuwatumikia watu .........tutakukumbuka sana
 
انا لله وانا اليه راجعون
Allah awape subra na nguvu ktk kipindi hiki kigumu .
 
Samahani wakuu,nilipitwa na hizi habari,kamanda nini kilimpata na kusababisha u mauti?
 
انا لله وانا اليه راجعون
Allah awape subra na nguvu ktk kipindi hiki kigumu .
 
Back
Top Bottom