Kufa hakuepukiki lakini kwa huu msiba ni wazi mabadiliko yamepata pigo kubwa.
najaribu kuzikumbuka baadhi ya 'like' nilizowahi kupata kutoka kwa kijana huyu asiyetetereka kimsimamo. Ni ngumu lakini tumuombe Mungu aifaliji familia yake na kutuonyesha njia tuliokuwa nyuma yake.
Binafsi nimeumizwa sana na kifo cha Mohammed Mtoi pia ni faraja kwa viongozi wa CHADEMA taifa kufika na kuifariji familia ya mpendwa wetu. Nilizoea kuona post nyingi za mshikaji wetu kipindi nikiwa Gamba na kuchangia kwa maslahi ya kichama hata kama posti ilikuwa ina mafundisho🙁🙁
I.W.I.R. Mtoi, the true son of Tanzania, activist, politician...wengi tumeumizwa na kifo chako...tunafuraha kuwa miongoni mwa wanaokusindikiza kwenye safari yako ya mwisho.
انا لله وانا اليه راجعون
Allah awape subra na nguvu ktk kipindi hiki kigumu .
انا لله وانا اليه راجعون
Allah awape subra na nguvu ktk kipindi hiki kigumu .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.