TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

انا لله وانا اليه راجعون
Allah awape subra na nguvu ktk kipindi hiki kigumu .

Allahum'ma aamyin
 
Napata tabu sana kuamini kifo cha Mtoi lakini namuachia Mungu sote tunapita hapa duniani. Nawashukuru sana viongozi wa ukawa tuwakilisheni tuko nanyi katika kipindi hiki kigumu R.I.P Kamanda M.M
 
Maneno yote yameisha,mikono imeishiwa nguvu ya kuandika, Ni majonzi, Simanzi, Masikitiko na Huzuni kuu.

Nenda Kamanda wetu, Tuko nyuma yako.

BACK TANGANYIKA
 
Walioko Msibani tunaomba kufahamisha kinachoendelea kwenye mazishi ya jemedari wetu Mpendwa machozi yatushuka hatuna jinsi ambavyo tungeweza zuia Kifo kweli Remmy aliimba Kifoo ooh Kiffo hakina mwenyewe tungekuwa na uwezo Mtoi tungekata rufaa tungeruka na mabawa tukipasua mbingu kukurejesha dunia lala pepa peponi
 
Binafsi nimeumizwa sana na kifo cha Mohammed Mtoi pia ni faraja kwa viongozi wa CHADEMA taifa kufika na kuifariji familia ya mpendwa wetu. Nilizoea kuona post nyingi za mshikaji wetu kipindi nikiwa Gamba na kuchangia kwa maslahi ya kichama hata kama posti ilikuwa ina mafundisho🙁🙁

Mtoi alikua kamanda hasa
 
Rest in peace brother. Tu waja wa Muumba, hakika kwake tutarudi...

Pamoja na yote tufanyayo, pamoja na fahari tulizonazo, tujue ipo siku tutaondoka.

Mungu aijalie faraja familia yako, hasa mke na watoto wako ambao ni wadogo, na walikuhitaji sana kama mume, baba, rafiki na mlezi wao...
 
Maskini bora viongozi wetu watuwakilishe ndo faraja iliyobaki. Ntujuze kitakachoendelea tupo pamoja
 
Back
Top Bottom