Mwanachama wa Yanga Mwigulu Nchema amrudisha Kocha Pluijm

Mwanachama wa Yanga Mwigulu Nchema amrudisha Kocha Pluijm

Dah nilitaka kushangaa sijui nini kimewapata yanga...aloooh mbona shida sanaaaaa
 

Attachments

  • yanga.jpg
    yanga.jpg
    78.2 KB · Views: 41
Baada ya kusoma hiyo barua between the line, nimegundua hizi timu zetu zimekosa weredi kwa kiasi kikubwa. Hawa hawa Yanga walibariki uamuzi wa kocha kujiuzuru, lkn leo wanaandika barua nyepesi hivyo kukataa kujihudhuru kwa kocha.
Pluijm angetoa condition mahususi za kurudi kwenye nafasi hiyo ili atufunze adabu
 
Mh.Rais ungempa Mh.Mwigulu Wizara ya Michezo ili aisaidie Yanga kufikia malengo yake
 
Naogopa kuapa kwa jina la Mungu lakini yanayoendelea Tanzania, kama nchi zingine zinahitaji Donald Trump basi hapa tunahitaji trumps watano labda. Mbali na hapo hii nchi hatutakaa tupige hatua, labda miaka 200 ijayo.
 
Kila issues ya yanga anasolve mwigulu, sijui waziri nape anafanya kazi gani?? Utadhani sio wakimataifa aisee
Kwani Nape anahusika vp na yanga?

Mwigulu ni mwanachama wa yanga
 
Naogopa kuapa kwa jina la Mungu lakini yanayoendelea Tanzania, kama nchi zingine zinahitaji Donald Trump basi hapa tunahitaji trumps watano labda. Mbali na hapo hii nchi hatutakaa tupige hatua, labda miaka 200 ijayo.
Trump ana experience gn kwenye uongozi au amewahi kufanya kitu gani cha maana kwenye uongozi???mpk umtaje hvy
 
leo mwigulu nchemba amemrejesha kocha wa yanga aliyejihuzulu wiki iliyopita je? nape alishindwa kumshauri huyu kocha mahili hii inatuletea picha gani ?
e57960e8022263ec9367594633f348cb.jpg
c5a1b2f9827136bb1a96dc58b8417e9a.jpg
mkuu kwani hapo shida nin? mi nadhani kwa sabbau mwigulu ni shabiki wa dhati wa timu ndio maana kaamua kufanya hivo.sio lazma angefanya nape,kwa sababu kam lipo ndani ya uwezo wake mwigulu anafanya tu kama kuweka mambo sawa,kwani usuluhishi sio lazma kiongoz husika bali ni mtu mwenye uwezo na mapenzio ya dhati kwa jambo hilo.
 
Nimesoma kwenye mitandao ya kijamii taarifa za Waziri wa Mambo ya Ndani kuingilia kati na kusuluhisha mgogoro wa mwajiri (Yanga) na mwajiriwa wake kocha Pluin na kuweza kuuatutua mara moja.
Taarifa zinasema Waziri alitumia siku mbili kuzungumza na pande husika kupata suluhu.

Jambo la kusikitisha hapo ni kwamba Waziri ameacha majukumu yake kwa siku mbili na kushughulkia mgogoro wa mwajiri na mwajiriwa ambao ungeweza kupelekwa Tume ya usuluhishi na uamuzi. Huku mitaani Panya Road na Majambaz wakitamalaki na migogoro ya wakulima na wafugaji ikiendelea.

Hii ndio dhana ya kazi tu?
 
Back
Top Bottom