aloyce ibra
Member
- Oct 26, 2016
- 60
- 25
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna shida, siyo lugha yetu.hichi Kiinglishi kwenye hii barua vipi wadau!
dah!!
Acha umbeaHakuna shida, siyo lugha yetu.
Dah Mhe alibadili nguo ao Pluijm alipiga kauka nikuvae?leo mwigulu nchemba amemrejesha kocha wa yanga aliyejihuzulu wiki iliyopita je? nape alishindwa kumshauri huyu kocha mahili hii inatuletea picha gani ?![]()
![]()
Nchi ngumu sana hiiMwigulu yeye kama nani kwenye hilo swala?
Kwani Nape anahusika vp na yanga?Kila issues ya yanga anasolve mwigulu, sijui waziri nape anafanya kazi gani?? Utadhani sio wakimataifa aisee
Waziri wa michezo anahusika VP na sakata la Hans????!waziri wa michezo wapi hadi Mwigulu?
Trump ana experience gn kwenye uongozi au amewahi kufanya kitu gani cha maana kwenye uongozi???mpk umtaje hvyNaogopa kuapa kwa jina la Mungu lakini yanayoendelea Tanzania, kama nchi zingine zinahitaji Donald Trump basi hapa tunahitaji trumps watano labda. Mbali na hapo hii nchi hatutakaa tupige hatua, labda miaka 200 ijayo.
mkuu kwani we ulitaka awe nan? au we unafikir amefanya ivo kwa ajili ya nan?Mwigulu yeye kama nani kwenye hilo swala?
mkuu kwani hapo shida nin? mi nadhani kwa sabbau mwigulu ni shabiki wa dhati wa timu ndio maana kaamua kufanya hivo.sio lazma angefanya nape,kwa sababu kam lipo ndani ya uwezo wake mwigulu anafanya tu kama kuweka mambo sawa,kwani usuluhishi sio lazma kiongoz husika bali ni mtu mwenye uwezo na mapenzio ya dhati kwa jambo hilo.leo mwigulu nchemba amemrejesha kocha wa yanga aliyejihuzulu wiki iliyopita je? nape alishindwa kumshauri huyu kocha mahili hii inatuletea picha gani ?![]()
![]()
Hata Mbowe angehusika kumrejesha wote ni Yanga damu haoMwigulu yeye kama nani kwenye hilo swala?
Kwani nape sio mwanachama wa yanga??Kwani Nape anahusika vp na yanga?
Mwigulu ni mwanachama wa yanga