TANZIA Mwanachuo wa DIT afariki kwa kuanguka kutoka ghorofa ya 10

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Your browser is not able to display this video.


Mwanafunzi wa Diploma anaefahamika kwa jina la KURWA katika Chuo cha DIT amefariki baada ya kuanguka kutoka ghorofa ya 10 (jengo linaitwa teaching tower TT)

Bado hakuna taarifa ya uhakika ya kuhitimisha kikamilifu chanzo cha kuanguka aidha kajirusha, kasukumwa, ajali, n.k.

chanzo >> mwanachuofamily Insta page
 
Upo eneo la tukio mda huu maana naona ni usiku hapo?
 
Du jengo refu hilo nikajua hapo ni Tokyo pengine jamaa alikuwa anajifunza U-batman
 
Au alikuwa anajaribu kupima ukweli wa 'g' acceleration due to gravity alioaminishwa tangu kidato cha kwanza
 
Tusiwe na haraka kuhitimisha, Kuna mambo ya ziada kama ugomvi na visasi, accidents, n.k.
Ukifuatilia kisa utaambiwa ni mahusiano.
Hata mimi na hisi mapemzi yanahusika hapa!! Tz hakuna ubaguzi wa rangi ndo kiwe chanzo, labda kidogo ugumu wa maisha!! Ila mapenzi 80%, ajali 05%, ugumu wa maisha 15%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…