Kinyau
JF-Expert Member
- Nov 24, 2006
- 921
- 726
Kuna wimbi kubwa sana la vijana na afya ya akili. Hawa miaka 18-25. Wiki iliyopita kijana wa kitanzania anayesoma Kenya naye amejirusha kutoka ghorofa ya 15 ,akiacha barua kwa wazazi kuwa hapendi wao kuachana na mitafaruku ya familia nk. Vijana wa kuume hawawi encouraged kuongea au kuelezea hisia zao . Wanameza vitu.Pengine kasukumwa