TANZIA Mwanachuo wa DIT afariki kwa kuanguka kutoka ghorofa ya 10

TANZIA Mwanachuo wa DIT afariki kwa kuanguka kutoka ghorofa ya 10

Umeanza vizuri mpaka nimehuzunika, ila huku mwishoni Mfano wako sasa haha!
Hata msibani katikati ya huzuni tunaweka kautani kidogo, wafiwa wacheke kidogo, maana kifo ni part and parcel of life. Tunakiogopa tu bila sababu za msingi. Jamii zinazofanya sherehe kwenye msiba zipo very realistic. Haijalishi umekufaje.
 
View attachment 3174889

Mwanafunzi wa Diploma anaefahamika kwa jina la KURWA katika Chuo cha DIT amefariki baada ya kuanguka kutoka ghorofa ya 10 (jengo linaitwa teaching tower TT)

Bado hakuna taarifa ya uhakika ya kuhitimisha kikamilifu chanzo cha kuanguka aidha kajirusha, kasukumwa, ajali, n.k.

chanzo >> mwanachuofamily Insta page
DAH !!! Kama ni mahusiano hiyo ni ujinga. Anyway r.i.p
 
Back
Top Bottom