Hahaha hahahaWe mbeba box rudi nyumbani msimu huu wa Holiday misiba imekua mingi umbwa wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hahahaWe mbeba box rudi nyumbani msimu huu wa Holiday misiba imekua mingi umbwa wewe
Sikatai kabisa, kama unavyojua kiswahili imekuwa changamoto kwa baadhi ya watuOk mkuu, ila huyu nimfahamuye anaitwa Kurwa.
Utakubari kitobo kikuue hivi hivi unakionaHahaha hahaha
😁😁, Kurwa naona siyo sahihi kabisa. Ni KULWAKurwa ndo sahihi kwetu watu wa kaskazini,hahahaaaas
Kaonja ukubwani.Ukifuatilia kisa utaambiwa ni mahusiano.
Ww siku ukirudi bongo tunakukabidhi kadi ya chadema rightawayHahaha hahaha
Yeah ni jina la "KE" ila akitangulia kuzaliwa "ME" anapewa jina hilo hilo la KULWA. 🤝Kumbe Ni kwa wa kike,daaa
Tatzo tunatofautiana ku-handle issue za mahusiano. Kuna wengine mioyo yao iko vzr kubeba matukio, na kuna wengine mioyo yao ikipigwa tukio moja tu, anafanya maamuzi ya kijinga kama kujiua/kutumia madawa ya kulevya..n.kKitobo kimoja kikuue? Hapana tokeni nje
Wapo hasa Kagera na Kgm.😁😁, Kurwa naona siyo sahihi kabisa. Ni KULWA
Kitobo kimoja? Wakati Mimi kitobo kimoja kikizingua napita na vitobo 11, sasa kitobo kimoja kinizingue?Tatzo tunatofautiana ku-handle issue za mahusiano. Kuna wengine mioyo yao iko vzr kubeba matukio, na kuna wengine mioyo yao ikipigwa tukio moja tu, anafanya maamuzi ya kijinga kama kujiua/kutumia madawa ya kulevya..n.k
😺 👈hii kitu inaua watu jomba, watu wanapigana risasi kisa 😺. Watu wanadumbukia kwenye uraibu wa madawa kisa 😺. Watu wanajiua kisa 😺.
Watu wamekazana kitobo kimemuuaUsije kuta alikuwa ndotoni
Yawezekana ni kidini zaidi mkuu. Ila ki-Africa siyo sahihi.Wapo hasa Kagera na Kgm.
Mimi ni Twin..... Lakini najua ni kurwa na doto sasa tatizo kama ulivyosema ni lugha kwenye r na l😁😁, Kurwa naona siyo sahihi kabisa. Ni KULWA
Kuna jamaa mmoja aliwahi kutoka mbio mara mbili tukiwa shule ya bweni, yani anatoka anaanza kukimbilia stand ya basi ni kama anakuwa na nia ya kurudi nyumbani lkn yupo usingizini.Watu wamekazana kitobo kimemuua
Maigizo extra kuna wenzio watasema mibangeKuna jamaa mmoja aliwahi kutoka mbio mara mbili tukiwa shule ya bweni, yani anatoka anaanza kukimbilia stand ya basi ni kama anakuwa na nia ya kurudi nyumbani lkn yupo usingizini.
Tulikuwa tunashtuka tunamuwahi tunamkamata tukimshtua anakuwa kama ametoka kwenye sintofahamu fulani na yeye anabaki kushangaa amepatwa na nini.
BikiniKweli amtegemeae mwanadamu amelaaniwa, ukute huyu nae familia ilikuwa inamtegemea kwamba atakuja kuwa mkombozi baada ya kufika chuo kikuu...pasi kujua mwendo wake ni mfupi kama chupi, hata magotini haifiki.
Kiswahili sanifu ni 👇👇Mimi ni Twin..... Lakini najua ni kurwa na doto sasa tatizo kama ulivyosema ni lugha kwenye r na l
Mfano
Lipi ni neno sahihi
1) analoga
2) anaroga
3) kujigaragaza
4) kujigalagaza
Naomba kufahamu tafadhali ikiwa unajua;
Inaweza kuwa moja ya sababu lkn Sababu nyingine zinaweza kuwa:Maigizo extra kuna wenzio watasema mibange