TANZIA Mwanachuo wa DIT afariki kwa kuanguka kutoka ghorofa ya 10

TANZIA Mwanachuo wa DIT afariki kwa kuanguka kutoka ghorofa ya 10

Mkuu, Nina mtu tunafahamiana tangu sekondari hadi ujanani ana hili jina, siyo Kulwa ni Kurwa boss. Kulwa? Alah.
Achana kufahamiana na mtu, tumia kamusi kuangalia hayo maneno yana maana ipi.. ✍️ ✍️

Kulwa ✅
Kurwa ❌

👇👇👇👇
Screenshot_20241212_160015_Chrome.png
 
Kweli kabisa, saizi watoto wa ZH Pope wapo mahakamani wanapambania haki zao zinazopokwa na mandugu digital... Binadamu ni mchanga, milima tu ndio itabaki milele, tatizo tunajisahaulisha haraka sana.
Dah, kwani aliacha watoto wadogo hakuwa na mtoto mkubwa wa kujielewa!!; hao wanaogombania hizo mali nao pia wataziacha
 
Back
Top Bottom