Unenena vyema mkuu. Tuwa encourage vijana kuwa it's okay kujisikia vibaya na waombe ushauri, sio udhaifu kuwa depressed. Last week kijana mtanzania amejirisha Nairobi kwa stress za familia kumbe angeweza kuongea na washauri lakini amemezea hadi kajirusha na kuacha barua kwa wazazi wake wote. Tu advocate for mental health , counseling. Kuna stigma sana katika tatizo la msongo wa mawazo.