Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
๐ wadada bwana... ngoja tuone litaishaje๐๐๐๐ huyo demu nimemfuatilia hawez kupigana na huyo masta wakikubali kuingia ulingoni basi nyumbani kwake watandike turubai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐ wadada bwana... ngoja tuone litaishaje๐๐๐๐ huyo demu nimemfuatilia hawez kupigana na huyo masta wakikubali kuingia ulingoni basi nyumbani kwake watandike turubai
Kabla hajawa wa kiume alizaliwa kama Patricia Manuel baadaye alivyojibadili jinsia na kuwa bondia akajibadilisha jina na kujiita Patricio Manuel ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHuyo huyo
Ndo huyu huyu mwamba... alikula panchi (Ngumi) moja tu chaliKabla hajawa wa kiume alizaliwa kama Patricia Manuel baadaye alivyojibadili jinsia na kuwa bondia akajibadilisha jina na kujiita Patricio Manuel ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃView attachment 2986936
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃNdo huyu huyu mwamba... alikula panchi (Ngumi) moja tu chali
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃAjaribu aone kama hatakunya jukwaani....mademu waishie tu kwenye 50/50 ila linapokuja swala la kichapo wasijaribu kabisa
Aisee ๐๐๐๐๐๐Kimsingi huyo mwanamke anatafuta mapenzi sio ngumi๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kuna muda mabondia hukumbatiana,nadhani anataka kuitumia hiyo fursa vizuri๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃAisee ๐๐๐๐๐๐
๐๐๐๐๐๐ kwa hiyo anataka kumbatoKuna muda mabondia hukumbatiana,nadhani anataka kuitumia hiyo fursa vizuri๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐๐๐ kwa hiyo anataka kumbato
Oya anakufa mzee mulize jamaa mmoja anaitwa dominic brazeile kama sikosei alijichanganya kwa wilder oyaaa kmmk acha kabisa masta acha kbsa na nlimuona wilder anasema โthis is not a gentleman sports, this is a brutal sports, the only place where you can kill and get paid for it โ oya acha kabisa ndondi huyo demu anacheza na wanaume subiri uone๐ wadada bwana... ngoja tuone litaishaje
Akishinda huyo demu nipe namba ya simu ill do the nexessary aloo haiwezekani mzee, sawa we unamjua me simjuiJibu jepesi ambalo naweza kusema humfahamu vizuri Claressa Shields.
Sio kwenye boxing kaenda kuwachallange hata wale wa MMA na bado kawatandika.
Mma is easier than box mzee au hujui ?Jibu jepesi ambalo naweza kusema humfahamu vizuri Claressa Shields.
Sio kwenye boxing kaenda kuwachallange hata wale wa MMA na bado kawatandika.
Mwakinyo na Harmonize wote wamekutana attention seekers .Haya na kama Yale ya mwakinyo vs harmonize