Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #41
Mpira tofauti na boxing .Kwenye mpira timu ya Chelsea ya wanawake kama sikosei walicheza na timu ya wanaume ya mtaani tu( sio ma pro footballer) wale wanacheza Sunday league for fun, Chelsea ladies wakala 11 mtungi (11-0)..... Hapo ndo utaelewa maana ya genetics vizuri
Ndio maana si ajabu kukuta timu kibonde ikiifunga timu kinara.