Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #41
Mpira tofauti na boxing .Kwenye mpira timu ya Chelsea ya wanawake kama sikosei walicheza na timu ya wanaume ya mtaani tu( sio ma pro footballer) wale wanacheza Sunday league for fun, Chelsea ladies wakala 11 mtungi (11-0)..... Hapo ndo utaelewa maana ya genetics vizuri
Hii kauli usije ukaongea mbele za watu maana watakucheka.Mma is easier than box mzee au hujui ?
Umenielewa vizuri? Hakuna sports ambayo mwanamke atamshinda mwanaume wote wakiwa ma pro, mpira walishajaribu wachezaji watatu tu wa crystal palace timu ya kiume waliwavuruga timu ya wanawake ya crystal palace, mbio walishajaribu ikawa vichekesho, juzi Serena Williams alitaka kucheza na pro athletic wa tennis mechi watu walicheka sana mtandaoni kuna jamaa kashastaafu ana miaka karibu 60 akasema hata ye hawezi kufungwa na mwanamke, ukija kwenye ngumi sasa itakua mauaji tu hayoMpira tofauti na boxing .
Ndio maana si ajabu kukuta timu kibonde ikiifunga timu kinara.
Ngoja tuoneOya anakufa mzee mulize jamaa mmoja anaitwa dominic brazeile kama sikosei alijichanganya kwa wilder oyaaa kmmk acha kabisa masta acha kbsa na nlimuona wilder anasema “this is not a gentleman sports, this is a brutal sports, the only place where you can kill and get paid for it “ oya acha kabisa ndondi huyo demu anacheza na wanaume subiri uone
Hoya, mbona mwanangu mfaume sahv hapati mapambanoYani kibongo bongo umchukue Mfaume Mfaume umpambanishe na Zulfa Macho au Stumai Muki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hoya, mbona mwanangu mfaume sahv hapati mapambanoYani kibongo bongo umchukue Mfaume Mfaume umpambanishe na Zulfa Macho au Stumai Muki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nyumbani nikiwaambia WWE wanaigiza wananiona mimi mzushiKama hawataigiza kama WWE basi uyo mwanadada atavunjwa taya.
Wanaruhusu kumbe?Kuna pambano nilifatilia la jinsia ke na me. Yule dada alipigwa ngumi moja alikuja kuamkia hospitali. Na hili pia nitalifatilia
Duniani kuna mambo.....kwahiyo hapa na "mti ulipandwa ukaota"??? Anaishi kiume??View attachment 2986938
Kabla na baada ya kujibadili jinsia.
dharau za Garcia zimezidi waoneshane kaziMwanamke akishaanza kushiriki kwenye shughuli za kiume haya ndio huwa matokeo yake.
Yupo busy kusimamia mabondia waliopo chini ,si unajua yeye ndiye kiongozi wa nacoz team.Hoya, mbona mwanangu mfaume sahv hapati mapambano
Ila hyo shields namkubali sana ni hatari
Ova
Kwenye boxing haipo hiyo ,ndio maana hata ukifia ulingoni hakuna kesi.
Anaishi kiume kwa sasa .Na jina amebasilisha kutoka Patricia kuwa Patricio .Duniani kuna mambo.....kwahiyo hapa na "mti ulipandwa ukaota"??? Anaishi kiume??
Hapo ana uwezo wa kummimba mtu kweli?Anaishi kiume kwa sasa .Na jina amebasilisha kutoka Patricia kuwa Patricio .
Kuhusu suala la mimba hapo sijajua.Hapo ana uwezo wa kummimba mtu kweli?