Mwanadada mwanariadha Caster Semenya akiwa na mkewe baada ya kufunga ndoa

Alikutwa na uume mdogo lkn hau function
 
Mbona kama ni mwanaume au naona vibaya??
 
Afadhali Semenya kaumbwa hivyo yeye ni hermaphrodite siyo Shemale wala Tranny ni mambo ya genetics kuliko wale wanaolazimisha kuwa na jinsia tofauti. Semenya ana ovaries kabisa. Kuna watu wana mbooh mbili na maku mbili double vagina na peniss. Ni genetics.

Kuna siku nitaleta Uzi humu kuwaelimisha wanaJF mambo ya sexual genetics.

Senior JF Biologist and Sexual genetics expert

Self declared phD holder

Kama anayo kwanini na Mimi nisiwe nayo???!!
 
Mwanariadha wa kike wa Afrika Kusini na mshindi wa Olimpiki afunga ndoa ya jinsia moja

Mwanariadha maarufu wa Afrika Kusini na mshindi wa medali ya dhahabu ya michuano ya Olimpiki mita 800 kwa wanawake, Caster Semenya amefunga ndoa na aliyekuwa mpenzi wake, Violet Raseboya.



Wawili hao wamefunga ndoa ya kifahari ambapo siku hiyo Semenya alikuwa anatimiza umri wa miaka 26. Katika sherehe hiyo Semenya aliyevalia kama mwanaume alivaa koti lenye urembo kama mtoto wa mfalme.


Ndoa hiyo imefungwa jana Pretoria, Afrika Kusini ikiwa ni mwaka mmoja tangu wawili hao walipofunga ndoa ya kimila Disemba 2015.
 
Tupe chanzo cha habari yako umepata wapi kuwa ana jinsia mbili? Maana ninachokumbuka ni kuwa report haikusema chochote kuhusu hili.
 
Tupe chanzo cha habari yako umepata wapi kuwa ana jinsia mbili? Maana ninachokumbuka ni kuwa report haikusema chochote kuhusu hili.
Source ya habari yake ni vijiwe vya kahawa na vijiwe vya kuchezea bao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…