barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Duh, kumbe!!Inasemekana kalipa mahari thanamani ya shilingi milion 4 kwa tz,
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kama ni yeye basi wazungu salute!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh, kumbe!!Inasemekana kalipa mahari thanamani ya shilingi milion 4 kwa tz,
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Anakimbia kundi la wadada, sasa anabeba 'jukumu la wakaka'. Caster! Caster!
Hii habari inasema ana mapumbu (testes) ndani ya mwili.....kama vile kuku jogoo. Isijekua anaweza kufanya kama kuku na kubebesha mimba, wataalam wa biolojia hebu tuelewesheni hapa,Kuna sehemu nimeikuta hii taarifa:
Caster Semenya Gender Results - South African Runner is a Hermaphrodite - BetUS
Tupe chanzo cha habari yako umepata wapi kuwa ana jinsia mbili? Maana ninachokumbuka ni kuwa report haikusema chochote kuhusu hili.Semenya ni Ana jinsia mbili ya kike na kiume nakumbuka pindi alipojinyakulia ile medali suala la jinsia yake ndipo lilipoleta utata na kuzua mjadala.
Akapimwa ikagundulika Jinsia ya Kiume nayo iko Active muda wote.
Nampongeza kwa kufunga(kuoa) kuliko angeenda kuolewa.
Source ya habari yake ni vijiwe vya kahawa na vijiwe vya kuchezea baoTupe chanzo cha habari yako umepata wapi kuwa ana jinsia mbili? Maana ninachokumbuka ni kuwa report haikusema chochote kuhusu hili.
na vijambo toka kitamboDah! Dunia ina mambo
Dah! Dunia ina mambo
Hakuna ubishiDume hilo