Mwanadada mwanariadha Caster Semenya akiwa na mkewe baada ya kufunga ndoa

Mwanadada mwanariadha Caster Semenya akiwa na mkewe baada ya kufunga ndoa

Inasemekana kalipa mahari thanamani ya shilingi milion 4 kwa tz,
3BF2E2C200000578-0-image-m-71_1483884179716.jpg


3BF2E1ED00000578-0-image-m-72_1483884224148.jpg


3BF2E0FE00000578-0-image-m-63_1483883982647.jpg


3BF2E11200000578-0-image-m-65_1483884004835.jpg


3BF3A27000000578-0-image-a-67_1483884142509.jpg
Duh, kumbe!!
Kama ni yeye basi wazungu salute!!
 
Alikutwa na uume mdogo lkn hau function
 
Mbona kama ni mwanaume au naona vibaya??
 
Afadhali Semenya kaumbwa hivyo yeye ni hermaphrodite siyo Shemale wala Tranny ni mambo ya genetics kuliko wale wanaolazimisha kuwa na jinsia tofauti. Semenya ana ovaries kabisa. Kuna watu wana mbooh mbili na maku mbili double vagina na peniss. Ni genetics.

Kuna siku nitaleta Uzi humu kuwaelimisha wanaJF mambo ya sexual genetics.

Senior JF Biologist and Sexual genetics expert

Self declared phD holder

Kama anayo kwanini na Mimi nisiwe nayo???!!
 
Mwanariadha wa kike wa Afrika Kusini na mshindi wa Olimpiki afunga ndoa ya jinsia moja

Mwanariadha maarufu wa Afrika Kusini na mshindi wa medali ya dhahabu ya michuano ya Olimpiki mita 800 kwa wanawake, Caster Semenya amefunga ndoa na aliyekuwa mpenzi wake, Violet Raseboya.

1483965860206.png


Wawili hao wamefunga ndoa ya kifahari ambapo siku hiyo Semenya alikuwa anatimiza umri wa miaka 26. Katika sherehe hiyo Semenya aliyevalia kama mwanaume alivaa koti lenye urembo kama mtoto wa mfalme.

1483965844943.png

Ndoa hiyo imefungwa jana Pretoria, Afrika Kusini ikiwa ni mwaka mmoja tangu wawili hao walipofunga ndoa ya kimila Disemba 2015.
 
Semenya ni Ana jinsia mbili ya kike na kiume nakumbuka pindi alipojinyakulia ile medali suala la jinsia yake ndipo lilipoleta utata na kuzua mjadala.

Akapimwa ikagundulika Jinsia ya Kiume nayo iko Active muda wote.

Nampongeza kwa kufunga(kuoa) kuliko angeenda kuolewa.
Tupe chanzo cha habari yako umepata wapi kuwa ana jinsia mbili? Maana ninachokumbuka ni kuwa report haikusema chochote kuhusu hili.
 
Tupe chanzo cha habari yako umepata wapi kuwa ana jinsia mbili? Maana ninachokumbuka ni kuwa report haikusema chochote kuhusu hili.
Source ya habari yake ni vijiwe vya kahawa na vijiwe vya kuchezea bao
 
Back
Top Bottom