Toka mitaa ya Upanga Kilombero ama Kalenga kuvuta bangi na washikaji mpaka Mjengoni. Muite MwanaFA.
Kuna muda ukitaka kutoboa kwenye haya maisha kuna maisha inabidi uyakatae na baadhi ya marafiki uwakatae completely.
Kwa maisha walioishi akiwa East Coast MwanaFA binamu asingefika hapa alipo kama angeendelea kubaki kule.
Ugomvi wake na GK na kundi la East Coast ndio umemfanya kubadili dira ya maisha huku king Crazy GK akiwa bado na mtazamo ule ule wa kuwa Gangster real OG
Chagua marafiki vizuri
Hoja Yako kuu hapa ilikuwa ni "Kuvuta bange na washikaji"
Mpka mjengoni (kwamba wavuta/mia bangi ni watu wa hovyo hawafai sio [emoji122]
ECT haikuwa maskani ya wavuta bange kihivyo kama unavyoainisha hapo juu.
Utumiaji ni ule wa kujiskia tu labda nitafute mood ya kufanya verse au mizuka ya studio na vingine
ECT wako pamoja na ni familia ambayo imedumu Kwa muda mrefu mpaka sasa.
Alipo Fa,ay yupo nyuma alipo Ay,gzinga yupo Adam snare yupo Gk shata yupo, na Wana supportiana sema ni chini Kwa chini bila makelele.
Kama hujui jamaa ni watu kimya kimya sana mambo Yao, unakuja kustuka tu hili hapa limeibuka.
Kumbe mipango ipo tangu muda tu. Unakumbuka mchongo wa tigo kuhusu miito ya simu Ilivyowapa mkwanja mrefu.
Unajua biashara wanayofanya member wengine km Gzinga(buff g) na Snare?
Unaijua #Ujamaa wewe.
Na Tena fa alipokuwa ect alikuwa ana njaa hiivyo maana Babu yake Mzee Njenje ndio makazi yake.
Tujaribu kuheshimu Hustle za mtu. Hata kama hatukithamini basi tukiache kama kilivyo.
Kwa nn wengi Huwa wanaumia kuskia Fulani Kapunguza unafuu wa maisha. Why?
Chuki inazaa mjomba