Sax
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 4,152
- 7,737
nakipataje mkuu
nakipataje mkuu
RIP legend!Mwandishi na msomi mashuhuri wa Kenya Ngũgĩ wa Thiong'o afariki akiwa na umri wa miaka 87
Taarifa za Msiba zimethibitishwa Wanjikũ wa Ngũgĩ, ambaye ni binti wa mwanafasihi huyo mahiri barani Afrika,
Taarifa hizo zinaelezea Kuwa alikuwa na matatizo ya afya ikiwa ni pamoja na matatizo ya figo na uhamaji mdogo.
Mwandishi huyo wa vitabu, atakumbukwa kwa kazi zake mbalimbali ambazo ziliwavutia wasomaji wengi Afrika Mashariki kama vile A Grain of Wheat, Weep Not, Child, Devil on the Cross, Wizard of the Cross na Petals of Blood.
Ni kazi gani zingine za kifasihi unazozikumbuka kutoka kwa nguli huyu?
itakuwa ni upumuaji hahahaa ama alichelewa kuhama hadi ugonjwa ukamkuta hapo"Uhamaji mdogo " ni ugonjwa gani
Ni huzuni kubwa sana mkuu.... mate alikua mtu wa maana sana tulimuita Thiong'o...😥
Joka la mdimu by Prof SafariKuna mabala the farmer pia japo mzee mabala ni mzungu
Things fall apart ni ya Chinua Achebbe na si Ngugi wa thiong'oR.i.P Classmate...😥
Things falls apart
Mungu amlaze pema
Mwandishi na msomi mashuhuri wa Kenya Ngũgĩ wa Thiong'o afariki akiwa na umri wa miaka 87
Taarifa za Msiba zimethibitishwa Wanjikũ wa Ngũgĩ, ambaye ni binti wa mwanafasihi huyo mahiri barani Afrika,
Taarifa hizo zinaelezea Kuwa alikuwa na matatizo ya afya ikiwa ni pamoja na matatizo ya figo na uhamaji mdogo.
Mwandishi huyo wa vitabu, atakumbukwa kwa kazi zake mbalimbali ambazo ziliwavutia wasomaji wengi Afrika Mashariki kama vile A Grain of Wheat, Weep Not, Child, Devil on the Cross, Wizard of the Cross na Petals of Blood.
Ni kazi gani zingine za kifasihi unazozikumbuka kutoka kwa nguli huyu?
Sisi tumeandika vitabu vya kalume kenge, kuku mweusi na kenge.Sisi tumeandika cha watoto wa mama ntilie
Sahihi…I will marry when I want.
🥹I will marry when i want