Ndio mama, wakati unapaa kwa kasi.Sahihi…
Oh prof, RIP kazi zako haziwez kusahaulika kamwe
Mwandishi na msomi mashuhuri wa Kenya Ngũgĩ wa Thiong'o afariki akiwa na umri wa miaka 87
Taarifa za Msiba zimethibitishwa Wanjikũ wa Ngũgĩ, ambaye ni binti wa mwanafasihi huyo mahiri barani Afrika,
Taarifa hizo zinaelezea Kuwa alikuwa na matatizo ya afya ikiwa ni pamoja na matatizo ya figo na uhamaji mdogo.
Mwandishi huyo wa vitabu, atakumbukwa kwa kazi zake mbalimbali ambazo ziliwavutia wasomaji wengi Afrika Mashariki kama vile A Grain of Wheat, Weep Not, Child, Devil on the Cross, Wizard of the Cross na Petals of Blood.
Ni kazi gani zingine za kifasihi unazozikumbuka kutoka kwa nguli huyu?
This time tomorrow

Sio author wa hiko kitabu, author ni chinua achebe , nae ni legendariR.i.P Classmate...😥
Things falls apart
Mwandishi na msomi mashuhuri wa Kenya Ngũgĩ wa Thiong'o afariki akiwa na umri wa miaka 87
Taarifa za Msiba zimethibitishwa Wanjikũ wa Ngũgĩ, ambaye ni binti wa mwanafasihi huyo mahiri barani Afrika,
Taarifa hizo zinaelezea Kuwa alikuwa na matatizo ya afya ikiwa ni pamoja na matatizo ya figo na uhamaji mdogo.
Mwandishi huyo wa vitabu, atakumbukwa kwa kazi zake mbalimbali ambazo ziliwavutia wasomaji wengi Afrika Mashariki kama vile A Grain of Wheat, Weep Not, Child, Devil on the Cross, Wizard of the Cross na Petals of Blood.
Ni kazi gani zingine za kifasihi unazozikumbuka kutoka kwa nguli huyu?
Dah!Hatari.Ngeheca ndeenda.Naikumbuka “Ngaahika ndeenda”!
RIP legend.
Duu 😢 mbona kuna vitabu vya Kiswahili vya mtu wa Tanga! ila sikumbuki jina! Humu kina walimu wanafahamu.Duu kumbe hata vitabu tunavosomea vimeandikwa na wakenya? basi wakenya shikamoni hatuwachokozi tena
Hakika mkuu..RIP Kwake ametusaidia sana kwenye literature
Hapana huyu alikuwa wa Ghana Ayi Armah.Hivi”The beautiful ones are not yet born aliandika huyu pia?
Tunao wanafasihi wengi tu hapa nyumbani, sielewi kwanini watu wanapachukia sana Tanzania kwetu wakati hawana homeland kwingine zaidi ya hapa.Duu 😢 mbona kuna vitabu vya Kiswahili vya mtu wa Tanga! ila sikumbuki jina! Humu kina walimu wanafahamu.
Rip Prof.
Mwandishi na msomi mashuhuri wa Kenya Ngũgĩ wa Thiong'o afariki akiwa na umri wa miaka 87
Taarifa za Msiba zimethibitishwa Wanjikũ wa Ngũgĩ, ambaye ni binti wa mwanafasihi huyo mahiri barani Afrika,
Taarifa hizo zinaelezea Kuwa alikuwa na matatizo ya afya ikiwa ni pamoja na matatizo ya figo na uhamaji mdogo.
Mwandishi huyo wa vitabu, atakumbukwa kwa kazi zake mbalimbali ambazo ziliwavutia wasomaji wengi Afrika Mashariki kama vile A Grain of Wheat, Weep Not, Child, Devil on the Cross, Wizard of the Cross na Petals of Blood.
Ni kazi gani zingine za kifasihi unazozikumbuka kutoka kwa nguli huyu?
Siyo kwamba wanachukia. Inategemea umri. Kwa watu wengi waliosoma miaka ya 1970s hadi 1990s hasa O level vitabu vingi vilivyotumika kwenye somo la Kiingereza hasa Literature vilikuwa ni hivyo vya kina Ngugi wa Thiong'o, Chinua Achebe, Okot p'Bitek, Wole Soyinka, Flora Nwapa, Ayi Kwei Armah na waandishi wengi wa nje. Hivyo vya Watanzania vitakuwa vimeanza kutumika miaka ya karibuni may be from 2000s. Kwa hiyo usishangae hilo. Ukitupatia majina ya waandishi wa Tanzania na vitabu vinavyotumika kwenye Literature mashuleni utatusaidia wengine tuvifahamu na tujifunze pia.Tunao wanafasihi wengi tu hapa nyumbani, sielewi kwanini watu wanapachukia sana Tanzania kwetu wakati hawana homeland kwingine zaidi ya hapa.
Watu wameumbwa kupenda mother land sielewi watanzania wamekumbwa na nini, unless hawana exposure hawajawahi kutoka nje ya mipaka yetu wakaona maumivu ya kukumbuka nyumbani.