Kwa walioenda shule huyu mwamba wa Fasihi na aliyesifika Kwa kufungua akili za watu kutoka kuwa tegemezi Hadi kuwa na fikra za kujitegenea mtamkumbuka huyu bwana.
Ameumaliza mwendo na apumzike Kwa amani ila kazi zake zitaishia daima 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DKNpN8BNGdr/?igsh=MXRqdGc5OXozNGFtZg==
My sincerely condolences to his Family, R.I.PMonetary doctor Dr am 4 real PhD where shall we be this time tomorrow?
Ni kweli V.I. LENIN Ali ichungulia kesho ya urusi 🤓Hilo sikupingi mkuu kwa sababu uimara wa nchi ya urusi tunaouona leo ulisababishwa na yeye hiyo inadhirisha kuwa jamaa aliichungulia kesho 😀.
Riwaya fulani Bora sanaCh
Joka la mdimu by Prof Safari
Mbele yetu nyuma yake.My sincerely condolences to his Family, R.I.P
Iz the one wrote books of ngugi wa thiong'o ?
HahahNi kweli V.I. LENIN Ali ichungulia kesho ya urusi 🤓
Apumzike kwa amaniMbele yetu nyuma yake.
Una mkumbuka kwa lipi ngugi wa thiongo😃Apumzike kwa amani
Aimen!!Apumzike kwa amani
Pia hata marehemu Prof chachage alikua na mwandishi mzuri.Ch
Joka la mdimu by Prof Safari
Nisiwe muongo Mimi fasihi za English hapana kabisa hata ikifk muda wa kusoma nilikuwa nawaza miaka ya mbele tuu 😂 😂Una mkumbuka kwa lipi ngugi wa thiongo😃