TANZIA Mwanafasihi maarufu Ngugi wa Thiong'o afariki Dunia baada ya kuugua muda mrefu

Apumzike kwa amani mzee Ngugi wa Thiong'o.

Mzee alitimiza wajibu wake kwenye kueleimisha waafrika wenzake kupitia uandishi.

Pumzika kwa amani mzee Ngugi.
 
Siyo kwamba wanachukia. Inategemea umri. Kwa watu wengi waliosoma miaka ya 1970s hadi 1990s hasa O level vitabu vingi vilivyotumika kwenye somo la Kiingereza hasa Literature vilikuwa ni hivyo vya kina Ngugi wa Thiong'o, Chinua Achebe, Okot p'Bitek, Wole Soyinka, Flora Nwapa, Ayi Kwei Armah na waandishi wengi wa nje. Hivyo vya Watanzania vitakuwa vimeanza kutumika miaka ya karibuni may be from 2000s. Kwa hiyo usishangae hilo. Ukitupatia majina ya waandishi wa Tanzania na vitabu vinavyotumika kwenye Literature mashuleni utatusaidia wengine tuvifahamu na tujifunze pia.
Ni kweli mkuu.
 
Mwandishi na msomi mashuhuri wa Kenya Ngũgĩ wa Thiong'o afariki akiwa na umri wa miaka 87

Taarifa za Msiba zimethibitishwa Wanjikũ wa Ngũgĩ, ambaye ni binti wa mwanafasihi huyo mahiri barani Afrika,

Taarifa hizo zinaelezea Kuwa alikuwa na matatizo ya afya ikiwa ni pamoja na matatizo ya figo na uhamaji mdogo.

Mwandishi huyo wa vitabu, atakumbukwa kwa kazi zake mbalimbali ambazo ziliwavutia wasomaji wengi Afrika Mashariki kama vile A Grain of Wheat, Weep Not, Child, Devil on the Cross, Wizard of the Cross na Petals of Blood.

Ni kazi gani zingine za kifasihi unazozikumbuka kutoka kwa nguli huyu?
R.I.P legend kazi zako zinaishi.
 
RIP mwandishi nguli wa fasihi
 
Ngũgĩ wa Thiong'o alikumbana na changamoto kubwa za kiafya, ikiwa ni pamoja na saratani ya tezi dume, matatizo ya figo, upasuaji wa moyo, na uwezo mdogo wa kutembea, hali ambayo huenda ilifanya miaka yake ya mwisho kuwa migumu kimwili. Taarifa ambazo bado hazijathibitishwa zinadai kuwa alikumbwa na changamoto za kibinafsi, kama vile uwezekano wa talaka na kuishi peke yake, hali ambayo ingeweza kuchangia ugumu wa kihisia.
 
Apumzike mahali Pema, Tunamshukuru Mungu kwa Uandishi wake maridadi uliotuamsha kutoka kwenye usingizi mzito wa ujinga kupitia Vitabu vyake.
 
R. I. P tutakukumbuka daima kwa kazi zake... moja kitabu chake I will marry when I want kilionyesha ujanja wa wakoloni kutumia dini
 
Rive between
Weep not child
Devil on the cross
Dreams in a time of war
Wrestling with the devil
Secure the base
In the name of the mother
Education for a nation

Kiranga the legend has fallen asleep
 
Back
Top Bottom