TANZIA Mwanafasihi maarufu Ngugi wa Thiong'o afariki Dunia baada ya kuugua muda mrefu

Mwandishi na msomi mashuhuri wa Kenya Ngũgĩ wa Thiong'o afariki akiwa na umri wa miaka 87

Taarifa za Msiba zimethibitishwa Wanjikũ wa Ngũgĩ, ambaye ni binti wa mwanafasihi huyo mahiri barani Afrika,

Taarifa hizo zinaelezea Kuwa alikuwa na matatizo ya afya ikiwa ni pamoja na matatizo ya figo na uhamaji mdogo.

Mwandishi huyo wa vitabu, atakumbukwa kwa kazi zake mbalimbali ambazo ziliwavutia wasomaji wengi Afrika Mashariki kama vile A Grain of Wheat, Weep Not, Child, Devil on the Cross, Wizard of the Cross na Petals of Blood.

Ni kazi gani zingine za kifasihi unazozikumbuka kutoka kwa nguli huyu?
I 'll marry when I want
 
Dreams in a Time of War
 
The River Between
 
RIP

Naam hawa ndio Wakenya walioacha a good and lasting Legacy na ya Kujivunia, worth of having a Title of one of the Africa's Greats
 
Back
Top Bottom