TANZIA Mwanafasihi maarufu Ngugi wa Thiong'o afariki Dunia baada ya kuugua muda mrefu

I 'll marry when I want
 
Nisiwe muongo Mimi fasihi za English hapana kabisa hata ikifk muda wa kusoma nilikuwa nawaza miaka ya mbele tuu 😂 😂

Ila kiswahili mpaka sasa nakumbuka joka la mdimu, hahaha
Mkuu,
Tulipata hata D kweli kwenye English or Swahili.
 
Dreams in a Time of War
 
The River Between
 
RIP

Naam hawa ndio Wakenya walioacha a good and lasting Legacy na ya Kujivunia, worth of having a Title of one of the Africa's Greats
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…