Mwanafunzi aliyejiteka mwenyewe ili apate milioni 3.5 akutwa gest akiponda raha

Mwanafunzi aliyejiteka mwenyewe ili apate milioni 3.5 akutwa gest akiponda raha

Utapeli kama huu uliwafanya wasukuma wakatae kusomesha watoto wao maana walikuwa wanawatapeli sana miaka hiyo ya nyuma Mtoto akienda shule anajifunza kutapeli ndugu. Wazee wakawa wanaambizana ukisomesha mtoto atakuwa mwizi anakuibia kutumia kalamu😀😀
 
Atapiga Pesa za miradi ya maendeleo mpaka waelewe, mabillion kadhaa yamepotea kumbe watu km hao wamejazana tu Serikalini unasikia wameitia Serikali hasara mfano mdogo ndio km huo sema wale hawasemewi kabla na hawashtakiwi kabla, issue inagundulika tayari washapiga Pesa na washaipiga Serikali hasara report inaposomwa na CAG kumbe walijishateka wenyewe kabla na Pesa washanywea bia
 
Daktari wetu mtarajiwa huyo.
Hakika tuendelee sana kula mbogamboga ma matunda kwa wingi.
 
Back
Top Bottom