Mwanafunzi aliyejiteka mwenyewe ili apate milioni 3.5 akutwa gest akiponda raha

Mwanafunzi aliyejiteka mwenyewe ili apate milioni 3.5 akutwa gest akiponda raha

Utapeli kama huu uliwafanya wasukuma wakatae kusomesha watoto wao maana walikuwa wanawatapeli sana miaka hiyo ya nyuma Mtoto akienda shule anajifunza kutapeli ndugu. Wazee wakawa wanaambizana ukisomesha mtoto atakuwa mwizi anakuibia kutumia kalamu😀😀
Inauma sana, mtoto wako akutapeli
 
Halafu tunajiuliza mchawi wetu nani hatuendelei?
 
Bladifulu ..kaona kusema "naomba hela nikanunue photosynthesis haitoshi"
 
Mambo haya ni kama yanafurahisha hivi ila wazazi wa huyo mtoto ndio wanajua nini wanapitia😔
 
Nailaumu sana Necta kwanini mtihani wa form 6 mwaka jana waliuweka mraisi sana ivyo,hii njema ilitakiwa iende kwenye sheria ama Hr,dokta mlevi mwingine kashaongezeka tayari
 
Eeh ila huko Mwanza vituko vimezidi huyo ni mwanachuo kama hajaelimika vile? Afu ni mkurya
IMG_2672.jpg
 
Hata huko kwenye udaktari kama atafanikiwa kuupata atakuwa ni mkiukaji mkubwa wa maadili ya kazi yake kwa sababu ya tamaa na haraka ya maisha.
Mshenzy kama huyu aje kuwa daktari? Ang’oe watu figo kwa tamaa ya pesa?! Fukuzilia mbali, chuo gani kikae na huyo mwehu?!
 
Back
Top Bottom