Mwanafunzi aliyejiteka mwenyewe ili apate milioni 3.5 akutwa gest akiponda raha

Mwanafunzi aliyejiteka mwenyewe ili apate milioni 3.5 akutwa gest akiponda raha

Starehe gani kakutwa mwenyewe angekutwa hata na binti basi boya tu nae
Mkuu kila mtu na starehe yake,pengine yeye kukaa peke yake na kunywa bia alone ndio starehe yake,

Ila dogo kawakosea sana wazazi wake,sasa kisheria sijui atafikishwa Mahakamani?
 
Hapo ukute wazazi wenyewe pangu pakavu, wametoka kuvuna sijui viazi mbatata.. dogo anataka kupita na faida🚮🚮
 
Back
Top Bottom