Katumbasongwe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,017
- 1,138
Wewe Ni mwafunzi tena mtukutu unajua viboko 20 wewe? Acha ujinga soma na uache kutumia simu shuleni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo ivo fimbo tatu hazitoshi.Kwenye sheria mwalimu anatakiwa kumchapa viboko vitatu tu na kwa ruhusa ya Mwalimu mkuu. Sasa ukiua mwanafunzi utaulizwa ulichapa fimbo ngapi na sheria inasemaje.
NdioMimi nimesema kila utamaduni wa kuiga kutoka magharibi?
NDIO,,,, Viboko visiachwe MashuleniKwahiyo mkuu unashauri viboko vitumike mtu achapwe viboko 50 maana adhabu ya viboko pia kuwa watu wanakua sugu huwezi mchapa mwanafunzi viboko vitano ili akome utaenda mpaka 50 sasa mkui viboko 50 au hata viboko 20 huoni unaelekea pabaya, nikuilize tu mara pah umemchapa ukampoteza mtoto wa watu utawajibu nini wazazi wake muangalia na side effect ya adhabu,
Mkuu ukiniambia kulima unazoea ni kama shuguli za nyumbani unakosea mashamba ya shule ni makubwa acha adhabu ya kulima zipo nyingi ambazo mtoto sio rahisi akawa mkaidi kwa kuzoea adhabu na mtoto akishakua kwenye hiyo stage ya ukomavu wa adhabu hata ukitumia fimbo hatasikia zaidi atakuongezea hasira utampiga vibaya
Inatokeaga bahati mbaya tu kuchapa mpaka mtoto akapata madhara.Kwani unavyoanza kuchapa unajua kama utaua, unajua ukichapa huwa kuna hasira nyuma ya lile tendo unalolifanya sasa ukianza kuchapa unakua huna dhamira ya kuua ila unaposhika bakora na kuanza kuchapa kila neno lake moja mwanafunzi wewe mwalimu unakazia mtoto anasema nimekosa sitarudia tena wewe ndiyo unazidisha kumla fimbo moyo wako unasema ngoja huyu leo mpaka akome unajua madhara ya hiyo dhana
Sema tu wanafunzi wengi ni wajinga wa sheria. Ila ningekuwa ni mimi nipo shule nisingechapwa fimbo zaidi ya 3. Wanafunzi wanaonewa kwa sababu ya kutojua sheria na haki zao. Cha kushangaza hata walimu wenyewe hawajui kuwa sheria inataka mwanafunzi mwisho kuchapwa fimbo 3, laiti wangekuwa wanajua wasingekuwa wanachaoa fimbo nyingi.Ndo ivo fimbo tatu hazitoshi.
Hiyo sheria wala haifuatwi na sio rafiki hata kidogo na huna pa kumpeleka mwalimu akilamba mboko nyingi labda itokee bahati mbaya akamuumiza bibaya mwanafunzi.
Wapi nimesema hivyo?Ndio
Duh, we jamaa 20 strokes unalalama hivi!! Mimi nilishawahi kuchapwa 60 na nikala ubuyu tu fresh. Muache mtoto arekebishwe.
Kuna adhabu za kuwapa watoto na sio mabakora. Ndio maana tunaonekana manyani meusi yasiyo na akili.
Mpe jembe akalime/afyeke/asafishe vyoo vya shule/apige magoti aite mvua mpaka wenzake wakitoka darasani/apewe suspension/alazimishwe asome vitabu kadhaa na aviandikie muhtasar la sivyo anafukuzwa shule n.k nk. mpe adhabu za kumjenga na sio kudhalilisha utu wake.
Yakiwakuta wanahamaki.Kwenye sheria mwalimu anatakiwa kumchapa viboko vitatu tu na kwa ruhusa ya Mwalimu mkuu. Sasa ukiua mwanafunzi utaulizwa ulichapa fimbo ngapi na sheria inasemaje.
Bora.Mwalimu mimi sinaga muda na kesi kama hizo.. nikimaliza pindi nipo ofisini nakula ngoma kwenye simu...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waalimu ni watu wenye Misongo sana ya Mawazo hasa wa hizi Shule za Serikali,
Sipati Picha angekua Mwanangu wangeifunga hiyo Shule kwa muda.
Uwe na adabu na heshima kwa walimu. Kilikupeleka Nini kwao Kama siyo kuongeza upumbavu uliokuwa nao Hadi ukahitimu kuwa mpumbavu mkubwa Kama ulivyo?Walimu huwa ni wapumbavu sana. Huwa wana mob psychology
adhabu yeyote unayoijua ambayo itamfanya mhusika akuigope na sio kumjenga kupitia hio adhabu,adhabu yeyote inayotokela kama kukomoa/kulipiza kisasa pasipo kuwa na kiasiAdhabu gani Duniani ambayo haitii UOGA,,,.???? zitaje hizo adhabu ambazo hazitii UOGA.....
Kaa kimya,rudi darasaniLabda PhD ya vikoba.