Mwanafunzi Esther wa Panda Hill aliyepotea kwa siku 35 amepatikana, yadaiwa alitoroshwa na mchoma mkaa

Since day moko nilivyopata hii habari nikauliza umri wa bint nilivyoambiwa ni 19yrs halmashauri ya ubongo wangu ikaconclude huyu yupo mahali kafungiwa anafanya mchezo mbaya.
Nasisitiza wasisahau kumpima mimba.
Huyu hawezi pata mimba,coz ni konkodi,kutoroka si mara ya kwanza.
 
Mwamba aliyekua kamteka dogo aanze kusepa la sivyo miaka 30 kuna miaka 10 kusababisha taharuki na miaka 10 ya kumsumbua waziri mkuu !! Kiufupi huu ni Uhaini [emoji3][emoji3]
Hawezi kuwa mbeya hii tena , huyo asharuka viunzi vya Nakonde _ Tunduma anaitafuta kapirimposhi muda huu

Binti kupotea ? Shuleni ? Habari kwa bwana PM ? Subiri kwanza
 
Esther aliolewa KIMYA KIMYA WAZAZI WAKAMPIME MIMBA NA VVU NGOSWE ....PENZI KITOVU CHA UZEMBE WRITTEN BY EDWIN SEMZABA (R.I.P) PANDAHILL NISHULE YA KISHUA SANA KWA WALIO MBEYA WANAIJUA IYO SHULE NDIO
MAANA WANASEMA JUU NYAYA ZA UMEME BAIBIUI KALIPATA WAPI ?AIBU HII
 
Maswali murua saana πŸ«±πŸ»β€πŸ«²πŸ½πŸ€œπŸ»πŸ’ͺ🏻πŸ’ͺ🏻πŸ’ͺ🏻
 
Makamanda ni hewa hadi wasukumwe.

Huyo dogo inaonyesha wamekulana sana na Jimmy.
Pili huyu sio dogo ni mtu mzima mwenzetu sio kwa hizi drama.

Mtoto mwema angeshtaki kwa wazazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…