Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Kapatikana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapatikana?
Msianze kuweka viunzi jamani,apewe milion zake.Kabla ya kuoewa hiyo 5M ahojiwe alimgunduaje wakati anavaa baibui full hadi jicho?
NdiyoKapatikana?
Binti ashaolewa na muuza mkaa, baba JoseUser name from Ester to Erica😂 hana tofauti ya watu humu hata abadili id vipi mta connect dots tu mnajua ni yeye
Mtoto alishaolewa wewe hiyo ni mbinu tuMsianze kuweka viunzi jamani,apewe milion zake.
Umeona sasa mdogo wangu?? Watu walianza muattack tr jimmy...huyu kashindikana muda sanaHuyo Binti aliyemgundua apewe milion 5 zake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jf[emoji706]Labda kwa shahawa zenu hizi za chipsi yai yaani nishibe dona langu, samaki na mtindi nikamkunja manzi wiki au mwezi mfululizo hata aweameweka kijiti lazma ashike mimba.
EH Mungu tulindie watoto wetu...dahMtoto alishaolewa wewe hiyo ni mbinu tuView attachment 2666489
Aibu kubwa sana,kawadhalilisha wazazi wake, na tabia yake sugu ya kutorokea kwa wanaume.SIPATI PICHA BABA MZAZI NA MAMA YAKE WANAJIONAJE NI KITENDO CHA AIBU SANA
Wewe unacheka kapatikana au Nini mbaya nawe [emoji848][emoji38]Aisee [emoji2][emoji2][emoji2]
Huyo ndo shahidi no 1 .Inabidi watu wamuombe msamaha Mwalimu jimmy
Walishamuattack tr jimmy...Phss ni kama st Francis .wako strict vyema tu..huyu amechoka shule kamis madyudyuAibu kubwa sana,kawadhalilisha wazazi wake, na tabia yake sugu ya kutorokea kwa wanaume.
To be honest ninachukia sana kuona mtu akitembea na mwanafunzi naweza kupiga hadi kuua.EH Mungu tulindie watoto wetu...dah
Shame on youHuyo ndo shahidi no 1 .
Alikua analazimisha kumbaka huyo binti.