Mwanafunzi mwenye Umri mdogo zaidi ahitimu Shahada ya udaktari Kairuki University akiwa na miaka 21

Hesabu hii umeipigaje..
21-6 =15
15-2=13
13-4=9
9-7=2

Then how is it Possible unasema inawezekana mwanafunzi ana Miaka 2 kuanza darasa la kwanza eniwei tuseme alianza akiwa na miaka 3 na bado hajamaliza internship mwaka 6...
Inawezekana hawafuati mtaala wa NECTA
 
Twende pamoja.
Umri 5-12 msingi(7 yrs)
13-16 sekondari(4 yrs)
17-19 A level (2 yrs)
19- 23 Udaktari.(5yrs)
Hiyo 21 kuna madarasa alivushwa,au kuna udanganyifu mahali!
 
Twende pamoja.
Umri 5-12 msingi(7 yrs)
13-16 sekondari(4 yrs)
17-19 A level (2 yrs)
19- 23 Udaktari.(5yrs)
Hiyo 21 kuna madarasa alivushwa,au kuna udanganyifu mahali!

Sio kila mtu anasoma mtaala wa necta
 
Hakuna cha ajabu. Nilimaliza kidato cha 6 nikiwa na umri wa miaka 17. Huyu binti itakuwa alimaliza na umri wa miaka 16. Na mitano ya kusoma udaktari kafikia 21.
Hongera kwake sana.
 
Maana yake alimaliza kidato cha 6 na kuanza mwaka wa kwanza akiwa na miaka 16.

Alimaliza kidato cha nne na miaka 14.

Alimaliza la saba na miaka 10.

Alianza la kwanza na miaka 3.

Inawezekana kabisa.
Inawezekana na hakuna.cha kushangaza na hiyo ni kwa wachahce tu.
 
Ma shaa Allah
Tabaraka Allah

Zao la Madrassa hilo.
 
Kuna mwingine ghana kamaliza na miaka 20.
1atu wanaongelea kwa Tanzania.

India yupo ana miaka 17 Tayari Daktari.

Dr. Balamurali Ambati is a well-known ophthalmologist who made history by becoming the youngest doctor in the world at the age of 17. He was born on July 29, 1977, in Vellore, India.6 Feb 2023
 
Asije akaja huku kwenye madude yanaitwa TGS atakula laki 9 yake akae hapo kwa kutulia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…