maonomakuu
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 2,516
- 1,198
Mbona umepanic Mrembo?Hawa kama ni wapenzi wa muda mrefu na huenda jamaa kajipanga kumwoa na wamekubaliana hivyo.Huyo dada ndoa kwake ndiyo imeishia hapo maana damu ya mjamaa itamdai mileleJapokua ni unyama uyo binti alichofanya lakini ni funzo kwa wengine.!
Unaanzaje kubeba simu ya mwenzako et kisa umekuta sms???
Ukishachukua simu itakusaidia nini haswaaaaa.....hapo ukute hakuna hata senti yako iliyotumika kwenye ununuzi wa simu
Kitu ambacho vijana hawajui....Mschana ni MTU alieopo mawindoni kusema utamdhibiti ni ngumu sababu bado anachagua na ktk huko kuchagua hawezi kuwa na mmoja sasa madogo wakiitwa Baby uko peke yako na wenyewe wanaamini waschana niwakugegeda nakuacha Ukitaka kuoa muache amalize Chuo aingie mtaani kasheshe atakazokutana nazo akimpata MTU hata kama ataendeleza ujinga lkn atakuwa anajua kinachoendelea Tatizo maisha ya chuo watu wanaigiza zaidNdo hasara yenu kutembea Na visichana vya chuo .Kama we mwanaume tafuta mwanamke sio mschana...Sasa hapo utakuta simu aliinunua na bado kasababishiwa kifo kwa hiyohiyo simu!
Tatizo la Waschana wa Chuo wanapenda Maisha ya Kufikirika ndio wanageuza K mtajiNdiyo shida ya kuokota wanafunzi wa vyuo ambao maisha yao ni umalaya tu,ni wachache ambao siyo malaya!
kila chuo wanafunzi wa kike ni makahaba,wana njaa saanaaa
Hadi sasa hakuna ukweli ilio julikana zaidi ya kila mtu kuongea lake,
Alafu jamaa sio mwanafunzi ila ana marafiki wengi hapa chuo na pia anaishi karibu sana na chuo
Nasikia kuna ngoma pale sijui ni kweli?
Ukioa mwanafunzi wa chuo,umeoa kahaba,labda vyuo vya ughaibuniTatizo la Waschana wa Chuo wanapenda Maisha ya Kufikirika ndio wanageuza K mtaji
Wewe nae ni wale wale sasa umeambiwa alikuwa demu wake picha zipo wakiwa wote unachobisha nini?Alafu jamaa sio mwanafunzi ila ana marafiki wengi hapa chuo na pia anaishi karibu sana na chuo
Nipo SAUT na mjua marehemu na pia namjua demu wake huyo demu amemaliza chuo mwaka jana. Ww unakurupuka kusikia uzushi.Wewe nae ni wale wale sasa umeambiwa alikuwa demu wake picha zipo wakiwa wote unachobisha nini?
very bad, kumuitia mwenzio mwizi ni roho ya uuaji.. bora hata angemtetea kuliko kumuacha akapigwa mpaka kufa..
sheria ifanye kazi yake..
wewe unaemtete hyu dada inabid nkuangalie mara 6 6.. cjui kama unaroho ya kibinadam..
sasa huyo mdada nae ataishia jela sasa kafaidika nini?
Mkuu hii tutathibitishaje
Mkuu almanusra unichekeshe hapa msibani!
Ila naomba upitie comments za wadau kwa umakini,marehemu sio mwanafunzi kama popoma alivyosema,mnyonge mnyongeni lakini hapa popoma ana hoja.
Na ukumbuke naye ni mwanafunzi aliyesomea hapo pia.