maonomakuu
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 2,516
- 1,198
Mbona umepanic Mrembo?Hawa kama ni wapenzi wa muda mrefu na huenda jamaa kajipanga kumwoa na wamekubaliana hivyo.Huyo dada ndoa kwake ndiyo imeishia hapo maana damu ya mjamaa itamdai mileleJapokua ni unyama uyo binti alichofanya lakini ni funzo kwa wengine.!
Unaanzaje kubeba simu ya mwenzako et kisa umekuta sms???
Ukishachukua simu itakusaidia nini haswaaaaa.....hapo ukute hakuna hata senti yako iliyotumika kwenye ununuzi wa simu